• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

TEHAMA na Uhusiano

Kitengo hiki kina jumla ya Watumishi Watatu (03), Wawili (02) wakiwa ni Wataalamu wa TEHAMA na Mmoja (01) akiwa ni Afisa Habari. Kitengo kinahusika na usimamiaji wa mifumo mbalimbali ya Halmashauri na kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA.

MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEHAMA

  1. Kitengo hiki kinasimamia utoaji na upatikanaji wa habari mbalimbali za halmashauri kwenda kwa jamii, uhamasishaji, kusimamia shughuli zinazohusiana na vyombo vya habari na usimamizi wa maudhui ya Tovuti ya Halmashauri.
  2.  Kitengo cha Habari, na Mawasiliano kina jukumu la kuhakikisha Ofisi ya Mkurugenzi  inadumisha mahusiano chanya na wadau wake wa ndani na nje
  3. Kutangaza shughuli zote za serikali na kuujulisha umma shughuli za maendeleo zinazotekelezwa katika Halmashauri  kwa njia mbalimbali zikiwemo magazeti, majarida,vitabu, vipeperushi, radio, TV na Tovuti.

  4. Majukumu mengine ya msingi ya Kitengo yanahusu kusimamia, kuratibu na ushauri wa matumizi ya teknolojia ya kompyuta. Kusimika Mfumo wa Kompyuta wa Kuhifadhi taarifa na Kumbukumbu za Watumishi na Mishahara (Intergrated Human Capital Management System); pamoja na utekelezaji wa Sera ya Serikali Mtandao (e-government policy) katika utumishi wa umma



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021,SHULE ZA KITAIFA, TEULE NA KUTWA WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021, SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 15, 2020
  • Tangazo la kazi za muda (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) April 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Njombe yatoa taulo za kike kwa Shule za Sekondari

    January 07, 2021
  • Jafo afurahishwa ujenzi wa Vituo vya Afya Njombe Mji

    December 22, 2020
  • Maandalizi ya kuhamia Soko jipya Njombe yaanza

    December 12, 2020
  • Halmashauri ya Mji Njombe Yatoa Milioni Mia Saba kwa Vikundi 72

    December 02, 2020
  • Angalia zote

Video

ULGSP kufanikisha ujenzi wa soko la kisasa Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe