• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi ateta na Watumishi Ardhi Mkoa wa Njombe-Awataka kufanya kazi kwa uzalendo

Tarehe iliyowekwa: February 25th, 2021

Naibu Waziri wa Nyumba Maendeleo ya Makazi Mhe,Angelina Mabula amewataka Watumishi wote wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Njombe kufanya kazi kwa uzalendo na kwa kasi kutokana na kasi ndogo ya umilikishaji na upimaji jambo linalopelekea Mkoa  kutokufanya vizuri. Hayo yalisemwa katika ziara yake katika Mkoa wa Njombe ambapo alipata nafasi ya kuzungumza na Watumishi.

 “Kasi ya kuwawezesha Wananchi kwenye  sekta ya ardhi bado ni ndogo.Wizara ya ardhi ni Wizara wezeshi katika kutekeleza miradi  mingine ya maendeleo.Kulingana na taarifa ya Mkoa kuna maeneo Halmashauri hazijafanya kazi yoyote alama za utekelezaji ni sifuri.Hii inaonyesha ni kwa jinsi gani Watumishi mmejisahau katika kuwahudumia Wananchi.Hii inasikitisha kwa stahili hii hatuwezi kufika”Alisema Naibu Waziri.

Aliendelea kusema kuwa Licha ya kuwa Idara ya Ardhi inasimamia Idara za ardhi kwenye Halmashauri katika ajira na nidhamu, hiyo haibadilishi Majukumu ya Wakurugenzi kuendelea kusimamia utekelezaji na utendaji kwa Watumishi hao kwani Halmashauri ndio Mamlaka za upangaji Miji.

Aidha alielezea kuwa kumekuwa na wadaiwa sugu wa kodi za ardhi lakini kumekuwa na ufuatiliaji usioridhisha kwa kutumia sheria za ardhi jambo linaloipotezea Serikali mapato na kuwafanya wadaiwa hao kufurahia huduma za ardhi bila kulipiwa jambo ambalo ni kinyume na sheria na kuwataka watendaji kuchukua sheria zinazotakiwa ili kutokomeza tabia hiyo.

Kuhusu uhaba wa watumishi katika Sekta ya Ardhi Mheshimiwa Mabula amesema kuwa ni vyema zikaundwa timu za Mkoa kwa kushirikiana na Wataalamu wa kila Halmashauri na kufanya kazi za upimaji  badala ya kutumia wapimaji wa Halmashauri pekee jambo ambalo litapelekea ongezeko la upimaji na hivyo kupelekea wigo wa kodi kuwa mkubwa.

Naibu Waziri amewataka Maafisa Mipango Miji kuhakikisha wanatambua vijiji ambavyo vinakuwa kwa kasi na hivyo kutengenza miji midogo midogo kuwapatia elimu na kuwaelekeza namna nzuri ya upangaji ili waweze kuipanga miji hiyo  badala ya kufanya ujenzi holela.

Katika ziara hiyo Mheshimiwa Mabula alipata nafasi pia ya kukabidhi hati za viwanja kwa Wananchi katika Kata za Njombe Mjini,Mjimwema na Ramadhani Halmashauri ya Mji Njombe.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021,SHULE ZA KITAIFA, TEULE NA KUTWA WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021, SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Njombe yatoa Milioni 239 ya mikopo katika robo ya tatu

    April 16, 2021
  • Mkuu wa Wilaya ya Njombe awatoa hofu Watumishi.Awataka kumuenzi Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufanya kazi kwa uzalendo,ujasiri na uthubutu

    April 01, 2021
  • Watumishi Halmashauri ya Mji Njombe wapatiwa mafunzo utambuzi noti bandia na utunzaji fedha

    March 16, 2021
  • "Parachichi ni Pesa" Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ateta na Wakulima

    March 12, 2021
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe