• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Wauza mali mbichi barabarani na kwenye magari Halmashauri ya Mji Njombe mwisho tarehe 08/03/2021-DC Msafiri

Tarehe iliyowekwa: February 19th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Ruth msafiri amewataka wafanyabiashara wote wanaofanya biashara ya kuuza mali mbichi katika maeneo yasiyo rasmi ikiwa ni barabarani na kwenye magari kuwa ifikapo tarehe 08/03/2021 watu hao wao wameondoka kwenye maeneo hayo na watakaokiukwa watakamatwa na kuchukiliwa hatua kwani Halmashauri ya Mji Nombe ina maeneo mengi na masoko ya kufanyia biashara. Hayo yalisemwa katika kikao cha ushauri cha Wilaya kilichowahusisha wadau wa maendeleo lengo ikiwa kujadili rasimu ya bajeti kwa mwaka 2021/2022.

‘Hatuitaji kufanya biashara nje ya maeneo rasmi.Kwa soko jipya tunanguvu ya kutosha hatuhitaji watu kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi.Hatuwezi kuruhusu watu kutoa biashara zao nyumbani na sokoni  na kuja kuuzia barabarani .Hili halikubaliki tunamasoko ya kutosha na tunahitaji Mji wetu uendelee kuwa na rekodi ya usafi kama ilivyokuwa awali. Yapo pia magari yanayosimama na kununua mali mbichi barabarani nawasisitiza pia hayo sio masoko na mwisho ni tarehe 08/03/2021 mara baada ya muda huo kupita nitawakamata. Kwa wale wanaouuza matunda kwenye magari njooni  na vibali kama vipo tuone ni nani aliowaruhusu kufanya biashara kwenye magari.”Alisema Mkuu wa Wilaya

Wakitoa ushauri wao kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa CCM Wilaya Edward Mgaya  amesema kuwa ni vyema ardhi ya iliyokuwa eneo la NJODECO kuchukua jukumu la kuichukua na baadae kuweza kutumika kwa ajili ya shughuli za uwekezaji.Kuweka mipango mizuri ya kurejesha viwanda. Kurejesha miundombinu

Baadhi ya wajumbe walioshiriki kwenye kikao hicho wameendelea kuipongeza Halmashauri kwa makusanyo mazuri na kuitaka Halmashauri kuweka mikakati na kubuni  vyanzo vipya vya mapato ikiwemo kutenga maeneo ya kuegesha malori,maeneo ya magulina maeneo ya michezo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminatha Mwenda amesema kuwa yapo mengi ambayo Halmashauri ilitamani kufanya katika bajeti  lakini Halmashauri ilikuwa inatakeleza mradi wa soko, na kwa sasa imeanza kuangalia maeneo ya kuongeza mapato ikiwa ni sambamba na mali za eneo la NJODECO.

Mwenda ameendelea kusema kuwa mipango mizuri inaendelea kutekelezwa na Halmashauri  ikiwa ni sambamba na kuanza ujenzi wa vituo vya afya Luponde na Mjimwema na kuboresha ujenzi wa kituo cha afya Mjimwema.

Halmashauri ya Mji Njombe imeendelea na utaratibu wa kufanya vikao vya Kisheria kwenye kupitisha rasimu ya bajeti kwa mwaka 2021/2022.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021,SHULE ZA KITAIFA, TEULE NA KUTWA WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021, SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Kudumu Bunge inayoshughulikia UKIMWI yafanya ziara Njombe

    March 02, 2021
  • Dugange Aipongeza Halmashauri ya Mji Njombe ujenzi wa Miradi ya Afya na Utoaji Asilimia 10 ya Mikopo

    March 01, 2021
  • Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Njombe lapitisha rasimu ya bajeti 2021/2022

    February 26, 2021
  • Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi ateta na Watumishi Ardhi Mkoa wa Njombe-Awataka kufanya kazi kwa uzalendo

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe