1. BIDII
Kufanya kazi kwa ustadi na ufanisi mkubwa kwa kuzingatia viwango vya hali ya juu.
2. UMOJA NA MSHIKAMANO
Kufanya kazi kwa kushirikiana, kubadilishana uzoefu,ujuzi na habari mbalimbali ili kufikia malengo yaliyokusudiwa
3. LENGO LA MTEJA
Juhudi zetu katika kufikia matarajio ya mteja
4. UADILIFU
Kudumisha maadili katika kutoa huduma kwa wateja
5. UWAJIBIKAJI
Kuhudumia wateja wetu kwa uwazi na kwa wakati
6. HESHIMA
Kusikiliza na kuhudumia wateja wetu kwa heshima
7. KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU
Mtumishi wa Umma hata bagua au kumnyanyasa mwananchi au mtumishi mwenzake kwa vigezo vya kijinsia,ukabila,dini,utaifa,hali ya ndoa au ulemavu
8. KUZINGATIA UBORA KATIKA KUTOA HUDUMA
Utumishi wa Umma unalenga katika utoaji wa huduma bora,ambapo Mtumishi wa Umma atafanya yafuatayo;
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe