• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Historia

1.0 Utangulizi 

Halmashauri ya Mji Njombe ni moja kati ya Halmashauri tatu (3) zinazounda Wilaya ya Njombe, Halmashauri nyingine ni Mji Makambako na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Halmashauri hii ilianzishwa mwaka 2007 baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kugawanywa. Kwa upande wa Mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Kaskazini imepakana na Halmashauri Wilaya ya Wanging`ombe, Magharibi imepakana na Wilaya ya Makete na Wanging`ombe, Kusini imepakana na Wilaya ya Ludewa na Mkoa wa Ruvuma. Halmashauri ya Mji Njombe ina ukubwa wa mita mraba 3,212 za eneo linalojumuisha Tarafa 2, Kata 13;Kata (3) ni za mjini na (10) ni za Vijijini, Vijiji 44 na Mitaa 28.

1.1 Idadi ya Watu 

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ya Mji Njombe ilikuwa na watu wapatao 130,223 (Me 61,112 na Ke 69,111). Kwa mwaka 2016 idadi ya watu inakadiriwa kuwa 134, 801 (Wanawake 71,541 na Wanaume 63,260). Hii ni kutokana na ongezeko la ukuaji wa idadi ya watu la asilimia 0.8 kwa mwaka.

1.2 Hali ya hewa 

Kwa jumla hali ya hewa ya Halmashauri ya Mji wa Njombe ni nzuri kwa maisha na uzalishaji. Kipindi cha mvua huanza Mwezi Oktoba hadi Aprili ambapo mvua hufikia kati ya milimita 1200 hadi 1400 kwa Mwaka. Aidha, baadhi ya maeneo hupata mvua za vuli katika kipindi cha mwezi Septemba. Aidha kuna kipindi cha baridi ambapo joto hushuka hadi (40C) kipindi hiki huanza mwezi Mei hadi Agosti; na kipindi cha majira ya joto (280C) huanza mwezi Novemba hadi Machi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUPANGISHA VYUMBA VYA BIASHARA SOKO KUU NJOMBE. September 05, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWENYE ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE March 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 05, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANAUME KUKIMBIA MAJUKUMU NA MILA POTOFU CHANZO CHA UDUMAVU NJOMBE

    October 03, 2023
  • MRADI WA KIZAZI HODARI MKOANI NJOMBE WAFANIKIWA KUWAFIKIA WANUFAIKA 25,097.

    September 29, 2023
  • TANGAZENI VIVUTIO VYA UTALII NA FURSA ZA UWEKEZAJI ZINAZOPATIKANA KWENYE MIKOA YENU.

    September 29, 2023
  • WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI WAKUMBUSHWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 22, 2023
  • Angalia zote

Video

DC ATAKA WADAU KUISHIRIKISHA OFISI YAKE KWENYE UTENDAJI KAZI.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe