Mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Robo ya nne (4) mwaka wa fedha 2023/2024 unaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.
Pamoja na mambo mengine wajumbe wa mkutano huu wamepitia na wanaendelea kujadili taarifa za kamati mbalimbali za kudumu kwa maendeleo ya Halmashauri na wananchi wa mji wa Njombe.
Mkutano huu unaongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe, Mhe.Erasto Mpete.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe