Uongozi wa Halmashauri ya Mji Njombe, unatambua mchango wa kila mwananchi katika maendeleo.
Aidha tunawashukuru walipa kodi,tozo na ushuru mbalimbali kwa hiari jambo ambalo limeiletea Halmashauri ya Mji Njombe mafanikio yanayooneka.
Kwa mwaka wa fedha unaoendelea 2024/2025 tunaendelea kuwakumbusha wafanyabiashara ,wajasiriamali na wanachi wote kuendelea kulika kodi kwa maendeleo.
Kumbuka kutoa risiti unapouza na mteja dai risiti unaponunua .
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe