Maonesho ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi ni mahususi kwa wadau wa sekta hiyo kujifunza,kushirikishana uzoefu na teknolojia mpya itakayowasaidia kufanya uzalishaji wenye tija.
Nikukumbushe tu ,hakuna kiingilio na elimu inatolewa bure kabisa .
Usichelewe , mwambie na rafiki yako mje kujifunza kutoka kwa wataalamu na wakulima wenye uzoefu kutoka Halmashauri ya Mji Njombe.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe