• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

KAMATI YA FEDHA YAHIMIZA UBORA NA KASI KATIKA UKAMILISHAJI WA MIRADI

Tarehe iliyowekwa: December 3rd, 2022

Wajumbe wa Kamati ya fedha Halmashauri ya Mji Njombe wamekagua shughuli za ujenzi wa miradi inayoendelea katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri na kuhimiza ubora na kasi katika ukamilishaji wa miradi hiyo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya fedha Erasto Mpete akizungumza wakati wa ukaguzi huo amewataka Wasimamizi kwenye miradi kuhakikisha kuwa miradi hiyo inazingatia ubora uliokusudiwa na pia inakamilika kwa muda ili iweze kutoa huduma iliyokusudiwa kwa Wananchi.

Akizungumza katika ziara hiyo Angela Mwangeni  Mjumbe wa Kamati ya fedha amepongeza Kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kuwaletea Wananchi wake Maendeleo na pia amesisitiza juu ya  utunzaji wa kumbukumbu zote muhimu katika kila mradi husika ili kuweka wazi na kutoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya fedha katika mradi husika.

Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na Ujenzi waVituo vya AfyaLuponde na Mjimwema, Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa kupitia fedha za Serikali Kuu(Pochi ya Mama) na Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Lunyanywi.






Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 15, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 KWA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 21, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWENYE ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE March 25, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 06, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KITUO CHA AFYA MAKOWO CHAKABIDHIWA VIFAA TIBA

    March 04, 2023
  • SERIKALI YASAINI MIKATABA YA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI

    March 03, 2023
  • DC NJOMBE AKABIDHIWA MRADI WA VYUMBA VYA MADARASA

    December 08, 2022
  • SHAMRA SHAMRA MIAKA 61 YA UHURU NJOMBE WAANZA KWA USAFI SOKO KUU

    December 05, 2022
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe