Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anatoa rai kwa akina mama kunyonyesha watoto maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi 6 nakuendelea kunyonyesha mpaka mtoto atakapotimiza miaka miwili.
Aidha kwa jamii ni muhimu kuendelea kuhimizana na kukumbusha umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto na lishe bora kwa watoto ili kuondokana na changamoto ya udumavu.
"Tatua changamoto saidia unyonyeshaji kwa watoto".
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe