• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

WAJASIRIAMALI NJOMBE WAPATA ELIMU YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA KUTOKA IFAKARA KUPITIA MAONESHO YA UTALII KUSINI

Tarehe iliyowekwa: November 12th, 2022

Vikundi vya Ujasiriamali kutoka katika Mkoa wa Njombe Halmashauri ya Mji Njombe wametembelea katika banda la Mkoa wa Morogoro ambapo wamejifunza mbinu mbadala na za kisasa za utengenezaji wa bidhaa zitokanazo na ufumaji na ususi kwa kutumia nyuzi.

Akizungumza akiwa ameambatana na Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Mji Njombe, Christina Daniel Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Njombe amesema kuwa lengo la wao kutembelea katika banda la Mkoa wa Morogoro Wilaya ya Ifakara ni kupata elimu na mbinu zaidi ya kuboresha bidhaa kwa Wajasiriamali wa Njombe na kujifunza Teknolojia mpya ambazo zinaweza kutumiwa na Wajasiriamali wa Njombe ili kuwa na bidhaa zenye ushindani katika soko.“Nimekutana na Wajasiriamali kama sisi ambao wanatoka Halmasahuri ya Mji Ifakara amabo nao ni Wanufaika wa asilimia kumi ya Mkopo wa Wanawake,Vijana na Walemavu. Nimeona niwalete Wajasiriamali wetu hapa ili waweze kujifunza vitu tofauti.Ningependelea vikundi vyetu vya Njombe vikajifunza utengenezaji wa bidhaa hizi kwani hizi ni bidhaa za viwanda na sisi tunapenda kwenda kwenye viwanda.”Alisema Christina.

Jonosia Malizi ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Liwa kutoka Halmashauri ya Mji Ifakara Morogoro, ambaye yeye ameseama kikundi chao kinatengeneza bidhaa mbalimbali kama vitambaa vya mezani,jikoni,blanketi,vikoi, ambao vimekuwa na manufaa makubwa katika kukuza uchumi wao. Jonosia amesema kuwa katika kutengeneza bidhaa zao na wamekuwa wakitumia nyuzi za mbao na mashine za mbao ambazo zinatengenezwa na mafunzi seremala ambapo mashine hizo hutengeneza mashuka na vikoa vine hadi vitatu kwa siku kazi ambayo inafanywa na mtu mmoja ambapo awali iliwalazimu kutumia mwezi kutengeneza bidhaa hizo. 

Aidha Jonisia amesema kuwa licha ya kutengeneza bidhaa hizo pia kikundi hicho kinatoa elimu ya ufundi kwa Wanavikundi na wanafunzi wanaopenda kufanya shughuli za Ujasiriamali jambo ambalo linawaongezea kipato kupitia mafunzo hayo.

Nao Wajasiriamali kutoka katika Halmashauri ya Mji Njombe waliotembelea banda hilo na kijionea bidhaa hizo wamefurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wanavikundi wenzao na wamesema kuwa teknolojia ya kutumia mashine imesaidia kurahisisha shughuli za uzalishaji wa bidhaa na wao pia watajipanga kutembelea na kujifunza kwa vitendao shughuli za uzalishaji wa bidhaa hizo ili waweze kuileta Teknolojia hiyo Njombe jambao ambalo pia litakuwa na mafufaa kwao lakini pia litawawezesha mafundi Seremala kupata ubunifu mpya wa kutengenza mashine hizo za ufumaji.

Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 15, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 KWA SHULE ZA SEKONDARI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 21, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWENYE ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE March 25, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 06, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WILAYA YA NJOMBE YAJIVUNIA MIAKA 61 YA UHURU

    December 09, 2022
  • DC NJOMBE AKABIDHIWA MRADI WA VYUMBA VYA MADARASA

    December 08, 2022
  • SHAMRA SHAMRA MIAKA 61 YA UHURU NJOMBE WAANZA KWA USAFI SOKO KUU

    December 05, 2022
  • KAMATI YA FEDHA YAHIMIZA UBORA NA KASI KATIKA UKAMILISHAJI WA MIRADI

    December 03, 2022
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe