Wakulima na wajasiriamali kutoka Halmashauri ya mji Njombe Kata ya Utalingolo Kijiji cha Mfereke wamekuja kutembelea Banda la Maonesho Halmashauri ya Mji njombe Mkoani Mbeya kwa lengo la kujifunza katika uzalishaji wa kilimo na Ufugaji wenye tija katika jamii.
Maonesho ya Nanenae 2024 yameambatana na kauli mbiu isemayo "Chagua viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ."
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe