Tarehe iliyowekwa: November 13th, 2024
Na.Mario Mgimba.
Halmashauri ya Mji Njombe imesaini mkataba na kampuni ya Ubaruku Construction Company Limited (UCCL) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Njombe Mjini.
...
Tarehe iliyowekwa: November 8th, 2024
Na.Ichikael Malisa.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe Kissa Gwakisa Kasongwa Tarehe 08 Novemba 2024 amepokea Matrekta 5 yaliyotolewa na Wizara ya Kilimo kwa ajili ya Kituo cha zana za Kilimo kilichopo H...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mheshimiwa Kissa Gwakisa Kasongwa, ametoa wito kwa wazazi wenye watoto waliotimiza miaka 18 ambao ni wanafunzi kuruhusiwa kujiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura ili wawez...