DC ATAKA WADAU KUISHIRIKISHA OFISI YAKE KWENYE UTENDAJI KAZI.
September 29th, 2023
Mkuu wa wilya ya Njombe Mhe Kissa Kassongwa ameyataka mashirika yanayotekeleza miradi mbambali ndani ya wilaya yake kuhakikisha yanashirikisha ofisi yake ili kuweza kufikia malengo kwa pamoja.
NI KICHEKO YAKOBI SEKONDARI
September 21st, 2023
NJOMBE TC INAFANYA VIZURI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO