Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe Erasto Mpete amewaomba wauzaji wa dawa za mifugo kununua dawa na chanjo kutoka kwenye vituo na mamlaka zilizo thibitishwa na serikali.
Septemba 06 ,2023 Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania kanda ya nyanda za juu kusini kituo cha Iringa ilifanya mafunzo maalumu kwa wataalamu wa mifugo ,wamiliki wa maduka na wauzaji wa madawa ya mifugo yaliyolenga kutoa elimu ya chanjo na uchanjaji pamoja na dawa za mifugo.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe