Mradi wa Ujenzi wa bweni la wavulana katika shule ya sekondariuwemba unaofadhiliwa na mfuko wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) kwagharama ya shilingi Milioni 130,000,000/= Umeanza kwa wananchi pamoja nawataalamu kujitolea nguvu kazi katika hatua ya awali ya ujezi wa msingi.
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe